Sio mbaya ukaiongeza na hii mpya ya Chris Brown; ‘Sx you back to sleep’ kwenye playlist yako –
Baada ya kuweka headlines na single yake ya Liquor Zero na kuonekana kwenye brand new hit single ya Tinashe Player, msanii wa muziki wa R&B Chris Brown amerudi kuziteka headlines za weekend nzima na mdundo wa single yake mpya.
Wimbo unaitwa ‘Sex you back to sleep’ na single hii inapatikana kwenye Album mpya ya Chris Brown, ROYALTY inayotegemea kuwa sokoni mwishoni wa mwaka 2015, album iliyopewa jina la mtoto wake wa kike.
Kama bado hujafanikiwa kukutana na single mpya ya Chris Breezy basi karibu uisikilize single hiyo kwa kubonyeza play hapa chini kwenye hii sauti.
Unata
Comments
Post a Comment