Nimekusogezea Official Video ‘Talk & Do’ ya Kcee Feat. Uhuru & DJ Buckz…

Ni headlines baada ya headlines, hitmaker wa ‘Love Boat’ Kcee karudi kwenye headlines baada ya kuachia Video ya ngoma yake mpya ‘Talk & Do’ ndani akiwa kamshirikisha  msanii mwenzake Uhuru kutoka Afrika Kusini pamoja na Dj Bucks.
Ngoma hiyo imeandaliwa na Dr. Amir.
Nakukaribisha hapa kuitazama mtu wangu…

Comments