Tecno wazindua simu mpya Tecno Phantom 5…
Una mpango wa kununua simu mpya kwa sasa mtu wangu?, kama bado upo kwenye mgongano wa mawazo hujui ununue simu gani basi Tecno Phantom 5 haina mpinzani kwa sasa.
Ukifanya uamuzi wa kuwa na smartphone mpya ya TECNO PHANTOM 5 ni uamuzi poa zaidi kwa sasa, simu hiyo imekuja na 4GB pamoja na Program ya Ultra Power ambayo kazi yake ni kutunza chaji kwa muda wa siku mbili kulingana na matumizi yako, pia inaDOUBLE FLASH kasi yake ni nzuri na unaweza ukaifungua kutumia alama ya kidole chako yaani FINGER PRINT yenye speeed ya 0.7.
Ninaambiwa kuwa pia simu hii mpya imeboresha katika upande wa Camera ambapo Camera ya mbele ina mega Pix 8 ikiwa na flash na nyuma ina mega pix 13 inakupaDouble Flash ina uwezo wa kupiga picha usiku na kuweza kupata picha nzuri zaidi.
Comments
Post a Comment