Pichaz za kwanza nje Red Carpet mpaka ndani kwenye Fainali ya BSS 2015..
FAINALI BSS 2015 IMEMALIZIKA HII LEO BAADA YA KAYUMBA KUIBUKA MSHINDI WA MILION 50 ZA KITANZANIA BAADA YA KUWAKIMBIZA WAPINZANI WAKE KATIKA ATUA YA 5 BORA, 3 BORA NA 2 BORA NA HATIMAYE KUIBUKA MSHINDI WA KITITA HICHO CHA FEDHA
PICHA CHINI
Ndani ya Ukumbi wa King Solomon Hall, Kinondoni Dar es Salaam kinachoendelea sasahivi ni Fainali ya Bongo Star Search Season 8… nimeanza kukusogezea hizi pichaz za kwanza kuanzia Red Carpet mpaka ndani.
Comments
Post a Comment